Agano la Kale

Agano Jipya

Matendo 6:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)

14. Kwa maana tulikwisha msikia akisema eti huyo Yesu wa Nazareti atapaharibu kabisa mahali hapa na kufutilia mbali desturi zile tulizopokea kutoka kwa Mose.”

15. Wote waliokuwa katika kile kikao cha Baraza walimkodolea macho Stefano, wakauona uso wake umekuwa kama wa malaika.

Kusoma sura kamili Matendo 6