Agano la Kale

Agano Jipya

Matendo 5:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Mtu mmoja aitwaye Anania na mkewe Safira waliuza shamba lao vilevile.

2. Lakini, mkewe akiwa anajua, Anania akajiwekea sehemu ya fedha alizopata na ile sehemu nyingine akawakabidhi mitume.

Kusoma sura kamili Matendo 5