Agano la Kale

Agano Jipya

Matendo 15:38-41 Biblia Habari Njema (BHN)

38. Lakini Paulo hakupendelea kumchukua Marko, ambaye awali aliwaacha kule Pamfulia na kukataa kushiriki katika kazi yao.

39. Basi, kukatokea ubishi mkali kati yao, wakaachana. Barnaba akamchukua Marko, wakapanda meli kwenda Kupro.

40. Naye Paulo akamchagua Sila, na baada ya ndugu wa mahali hapo kumweka chini ya ulinzi wa neema ya Bwana, akaondoka.

41. Katika safari hiyo alipitia Siria na Kilikia, akiyaimarisha makanisa.

Kusoma sura kamili Matendo 15