Agano la Kale

Agano Jipya

Marko 2:26-28 Biblia Habari Njema (BHN)

26. Yeye aliingia ndani ya Nyumba ya Mungu, akala ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu. Jambo hili lilifanyika wakati Abiathari alikuwa kuhani mkuu. Na ni makuhani tu peke yao waliokuwa wameruhusiwa kula mikate hiyo. Lakini Daudi aliila, tena akawapa na wenzake.”

27. Basi, Yesu akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili ya Sabato!

28. Kwa hiyo, Mwana wa Mtu ana uwezo hata juu ya Sabato.”

Kusoma sura kamili Marko 2