Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 9:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Herode akasema, “Huyo Yohane nilimkata kichwa; sasa ni nani huyu ninayesikia habari zake?” Akawa na hamu ya kumwona.

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:9 katika mazingira