Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 9:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Jua lilipokuwa linaanza kutua, wale kumi na wawili walimwendea wakamwambia, “Waage watu waende kwenye vijiji na mashamba ya karibu, wakajipatie chakula na mahali pa kulala, kwa maana hapa tulipo ni nyikani.”

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:12 katika mazingira