Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 7:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Yesu akamalizia kwa kusema, “Nawaambieni, kati ya binadamu wote hakuna aliye mkubwa zaidi kuliko Yohane Mbatizaji. Hata hivyo, yule aliye mdogo kabisa katika ufalme wa Mungu ni mkubwa kuliko yeye.”

Kusoma sura kamili Luka 7

Mtazamo Luka 7:28 katika mazingira