Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, alipokuwa anakaribia lango la mji, walitokea watu wamebeba maiti ya mwanamume mmoja, mtoto wa pekee wa mama mjane. Watu wengi wa mji ule walikuwa pamoja na huyo mama.

Kusoma sura kamili Luka 7

Mtazamo Luka 7:12 katika mazingira