Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 23:55 Biblia Habari Njema (BHN)

Wale wanawake walioandamana na Yesu kutoka Galilaya walimfuata Yosefu, wakaliona lile kaburi na jinsi mwili wake Yesu ulivyowekwa.

Kusoma sura kamili Luka 23

Mtazamo Luka 23:55 katika mazingira