Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 23:50 Biblia Habari Njema (BHN)

Kulikuwa na mtu mmoja jina lake Yosefu, mwenyeji wa kijiji kimoja cha Wayahudi kiitwacho Arimathaya. Alikuwa mtu mwema anayeheshimika.

Kusoma sura kamili Luka 23

Mtazamo Luka 23:50 katika mazingira