Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 23:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Walipofika mahali paitwapo, “Fuvu la Kichwa,” ndipo wakamsulubisha Yesu pamoja na wale wahalifu wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto.

Kusoma sura kamili Luka 23

Mtazamo Luka 23:33 katika mazingira