Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 23:14 Biblia Habari Njema (BHN)

akawaambia, “Mmemleta mtu huyu kwangu mkisema kwamba alikuwa anawapotosha watu. Sasa sikilizeni! Baada ya kuchunguza jambo hilo mbele yenu, sikumpata na kosa lolote kuhusu mashtaka yenu juu yake.

Kusoma sura kamili Luka 23

Mtazamo Luka 23:14 katika mazingira