Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 20:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Yule bwana akamtuma tena mtumishi mwingine; lakini wao wakampiga huyo vilevile na kumtendea vibaya, wakamrudisha mikono mitupu.

Kusoma sura kamili Luka 20

Mtazamo Luka 20:11 katika mazingira