Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku moja, Yesu alipokuwa akiwafundisha watu hekaluni na kuwahubiria juu ya Habari Njema, makuhani wakuu na waalimu wa sheria pamoja na wazee walifika,

Kusoma sura kamili Luka 20

Mtazamo Luka 20:1 katika mazingira