Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 18:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Nawaambieni, huyu mtozaushuru alirudi nyumbani akiwa amesamehewa. Lakini yule mwingine, sivyo. Kwa maana kila anayejikweza atashushwa, na kila anayejishusha atakwezwa.”

Kusoma sura kamili Luka 18

Mtazamo Luka 18:14 katika mazingira