Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 17:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa maana kama vile umeme unavyotokea ghafla na kuangaza anga upande mmoja hadi mwingine, ndivyo Mwana wa Mtu atakavyokuwa siku ile yake.

Kusoma sura kamili Luka 17

Mtazamo Luka 17:24 katika mazingira