Agano la Kale

Agano Jipya

Luka 15:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, akaanza safari ya kurudi kwa baba yake. Alipokuwa bado yu mbali, baba yake alimwona, na kwa moyo wa huruma alimkimbilia, akamkumbatia na kumbusu.

Kusoma sura kamili Luka 15

Mtazamo Luka 15:20 katika mazingira