Agano la Kale

Agano Jipya

2 Yohane 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Wadanganyifu wengi wamezuka duniani, watu ambao hawakiri kwamba Yesu Kristo amekuja kwetu, na mwili wa kibinadamu. Mtu asemaye hivyo ni mdanganyifu na ni mpinzani wa Kristo.

Kusoma sura kamili 2 Yohane 1

Mtazamo 2 Yohane 1:7 katika mazingira