Agano la Kale

Agano Jipya

2 Yohane 1:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Mimi mzee nakuandikia wewe Bimkubwa mteule pamoja na watoto wako ninaowapenda kweli. Wala si mimi tu ninayewapenda, bali pia wote wanaoujua ule ukweli wanawapenda nyinyi,

2. kwa sababu ukweli unakaa nasi milele.

3. Neema na huruma na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika ukweli na upendo.

Kusoma sura kamili 2 Yohane 1