Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wakorintho 9:13-15 Biblia Habari Njema (BHN)

13. Kutokana na uthibitisho unaooneshwa kwa huduma hii yetu, watu watamtukuza Mungu kwa sababu ya uaminifu wenu kwa Habari Njema ya Kristo mnayoiungama, na pia kwa sababu ya ukarimu mnaowapa wao na watu wote.

14. Kwa hiyo watawaombea nyinyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee aliyowajalieni Mungu.

15. Tumshukuru Mungu kwa ajili ya zawadi yake isiyo na kifani!

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 9