Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wakorintho 7:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Hata baada ya kufika Makedonia hatukuweza kupumzika. Kila upande tulikabiliwa na taabu: Nje ugomvi; ndani hofu.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 7

Mtazamo 2 Wakorintho 7:5 katika mazingira