Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wakorintho 4:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Tumeyaacha kabisa mambo yote ya aibu na ya kisirisiri. Hatuishi tena kwa udanganyifu, wala kwa kulipotosha neno la Mungu; bali kwa kuudhihirisha ukweli twajiweka chini ya uamuzi wa dhamiri za watu mbele ya Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 4

Mtazamo 2 Wakorintho 4:2 katika mazingira