Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wakorintho 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni dhahiri kwamba nyinyi ni barua ya Kristo aliyoipeleka kwa mikono yetu. Barua yenyewe imeandikwa si kwa wino, bali kwa Roho wa Mungu aliye hai; imeandikwa si juu ya kipande cha jiwe, bali juu ya mioyo ya watu.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 3

Mtazamo 2 Wakorintho 3:3 katika mazingira