Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wakorintho 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndiyo maana niliwaandikia: Sikutaka kuja kwenu na kuhuzunishwa na nyinyi ambao ndio mngepaswa kuwa furaha yangu. Nina hakika kwamba mimi nikifurahi, nyinyi nyote pia mnafurahi.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 2

Mtazamo 2 Wakorintho 2:3 katika mazingira