Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wakorintho 12:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Nimekuwa kama mpumbavu, lakini nyinyi mmenilazimisha kuwa hivyo. Nyinyi ndio mngalipaswa kunisifu. Maana, ingawa mimi si kitu, kwa vyovyote, mimi si mdogo kuliko hao “mitume wakuu.”

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12

Mtazamo 2 Wakorintho 12:11 katika mazingira