Agano la Kale

Agano Jipya

2 Petro 1:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena, ujumbe wa manabii watuthibitishia jambo hilo; nanyi mwafanya vema kama mkiuzingatia, maana ni kama taa inayoangaza mahali penye giza mpaka siku ile itakapopambazuka na mwanga wa nyota ya asubuhi utakapong'ara mioyoni mwenu.

Kusoma sura kamili 2 Petro 1

Mtazamo 2 Petro 1:19 katika mazingira