Agano la Kale

Agano Jipya

1 Yohane 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Yesu Kristo ndiye aliyekuja kwa maji ya ubatizo wake na kwa damu ya kifo chake. Hakuja kwa maji tu, bali kwa maji na kwa damu. Naye Roho anashuhudia kwamba ni kweli, kwani Roho ni ukweli.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 5

Mtazamo 1 Yohane 5:6 katika mazingira