Agano la Kale

Agano Jipya

1 Yohane 4:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini nyinyi, watoto, ni wake Mungu na mmekwisha washinda hao manabii wa uongo; maana Roho aliye ndani yenu ana nguvu kuliko roho aliye ndani ya hao walio wa ulimwengu.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 4

Mtazamo 1 Yohane 4:4 katika mazingira