Agano la Kale

Agano Jipya

1 Yohane 4:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtu akisema kwamba anampenda Mungu, hali anamchukia ndugu yake, huyo ni mwongo. Maana mtu asiyempenda ndugu yake ambaye anamwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hamwoni.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 4

Mtazamo 1 Yohane 4:20 katika mazingira