Agano la Kale

Agano Jipya

1 Yohane 3:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Anayezitii amri za Mungu anaishi katika muungano na Mungu na Mungu anaishi katika muungano naye. Kwa njia ya Roho ambaye Mungu ametujalia, sisi twajua kwamba Mungu anaishi katika muungano nasi.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 3

Mtazamo 1 Yohane 3:24 katika mazingira