Agano la Kale

Agano Jipya

1 Yohane 3:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Sisi tumepata kujua upendo ni nini, kwani Kristo aliyatoa maisha yake kwa ajili yetu. Nasi vilevile tunapaswa kuyatoa maisha yetu kwa ajili ya ndugu zetu.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 3

Mtazamo 1 Yohane 3:16 katika mazingira