Agano la Kale

Agano Jipya

1 Yohane 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Tusiwe kama Kaini ambaye, kwa kuongozwa na yule Mwovu, alimuua ndugu yake. Na, kwa nini alimuua? Kwa sababu matendo yake yalikuwa maovu, lakini yale ya ndugu yake yalikuwa mema!

Kusoma sura kamili 1 Yohane 3

Mtazamo 1 Yohane 3:12 katika mazingira