Agano la Kale

Agano Jipya

1 Yohane 2:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Watoto, mwisho u karibu! Mlikwisha sikia kwamba mpinzani wa Kristo anakuja, na sasa wapinzani wengi wa Kristo wamekwisha fika, na hivyo twajua kwamba mwisho u karibu.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 2

Mtazamo 1 Yohane 2:18 katika mazingira