Agano la Kale

Agano Jipya

1 Yohane 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Nawaandikieni nyinyi watoto kwa sababu mnamjua Baba.Nawaandikieni nyinyi kina baba kwa kuwa mnamjua yeye ambaye amekuwako tangu mwanzo.Nawaandikieni nyinyi vijana kwa sababu mna nguvu;neno la Mungu limo ndani yenuna mumemshinda yule Mwovu.

Kusoma sura kamili 1 Yohane 2

Mtazamo 1 Yohane 2:14 katika mazingira