Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 8:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini, si kila mtu anao ujuzi huu. Maana wako watu wengine waliokwisha zoea sanamu, watu ambao mpaka hivi sasa wanapokula vyakula huviona bado kama vyakula vilivyotambikiwa sanamu. Na kwa vile dhamiri zao ni dhaifu, hutiwa unajisi.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 8

Mtazamo 1 Wakorintho 8:7 katika mazingira