Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa kweli huko kushtakiana tu wenyewe kwa wenyewe kwabainisha kwamba mmeshindwa kabisa! Je, haingekuwa jambo bora zaidi kwenu kudhulumiwa? Haingekuwa bora zaidi kwenu kunyanganywa mali yenu?

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 6

Mtazamo 1 Wakorintho 6:7 katika mazingira