Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana bado nyinyi ni watu wa kidunia. Je, si kweli kwamba bado uko wivu na ugomvi kati yenu? Mambo hayo yanaonesha wazi kwamba nyinyi bado ni watu wa kidunia, mnaishi mtindo wa kidunia.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 3

Mtazamo 1 Wakorintho 3:3 katika mazingira