Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 3:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa msaada wa neema aliyonipa Mungu, nimefaulu, kama mwashi stadi mwenye busara, kuweka msingi ambao juu yake mtu mwingine anajenga. Basi, kila mmoja awe mwangalifu jinsi anavyojenga juu yake.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 3

Mtazamo 1 Wakorintho 3:10 katika mazingira