Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 16:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndugu, mnaifahamu jamaa ya Stefana; wao ni watu wa kwanza kabisa kuipokea imani ya Kikristo katika Akaya, na wamejitolea kuwatumikia watu wa Mungu. Ninawasihi nyinyi ndugu zangu,

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 16

Mtazamo 1 Wakorintho 16:15 katika mazingira