Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 14:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndivyo ilivyo kwa vyombo visivyo na uhai vyenye kutoa sauti kama vile filimbi au kinanda. Je, mtu anawezaje kuutambua wimbo unaochezwa kama vyombo hivyo havitoi sauti waziwazi vinapopigwa?

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 14

Mtazamo 1 Wakorintho 14:7 katika mazingira