Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wakorintho 10:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Majaribu mliyokwisha pata ni ya kawaida kwa binadamu. Mungu ni mwaminifu, naye hataruhusu mjaribiwe kupita nguvu zenu, ila pamoja na majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.

Kusoma sura kamili 1 Wakorintho 10

Mtazamo 1 Wakorintho 10:13 katika mazingira