Agano la Kale

Agano Jipya

1 Petro 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi Petro, mtume wa Yesu Kristo, nawaandikia nyinyi wateule wa Mungu Baba, ambao mmetawanyika na mnaishi kama wakimbizi huko Ponto, Galatia, Kapadokia, Asia na Bithunia.

Kusoma sura kamili 1 Petro 1

Mtazamo 1 Petro 1:1 katika mazingira