30. Eltoladi, Kesili, Horma,
31. Siklagi, Madmana, Sansana,
32. Lebaothi, Shilhimu, Aini na Rimoni. Jumla ya miji waliyopewa ni ishirini na tisa pamoja na vijiji vyake.
33. Miji iliyokuwa kwenye tambarare ilikuwa: Eshtaoli, Sora, Ashna,
34. Zanoa, Enganimu, Tapua, Enamu,
35. Yarmuthi, Adulamu, Soko, Azeka,