Mfalme wa Babuloni amesikia habari zao,nayo mikono yake ikawa kama kamba.Ameshikwa na dhiki na uchungu kama mama anayejifungua.