3. Pashuri, Amaria, Malkiya,
4. Hatushi, Shebania, Maluki,
5. Harimu, Meremothi, Obadia,
6. Danieli, Ginethoni, Baruku,
7. Meshulamu, Abiya, Miyamini,
8. Maazia, Bilgai na Shemaya.
9. Pia majina ya Walawi: Yeshua, mwana wa Azania, Binui, wazawa wa Henadadi, Kadmieli.
10. Na ndugu zao waliotia sahihi ni: Shebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani,
11. Mika, Rehobu, Hashabia,