Maana kama kijana mwanamume amwoavyo msichana,ndivyo aliyekujenga atakavyokuwa mume wako.Kama bwana arusi afurahivyo juu ya bibi arusi,ndivyo Mungu atakavyofurahi juu yako.