Utaimarika katika uadilifu,utakuwa mbali na dhuluma,nawe hutaogopa kitu;utakuwa mbali na hofu,maana haitakukaribia.