Watu wa Yerusalemu wamejikwaa,watu wa Yuda wameanguka,kwa kuwa wanampinga Mwenyezi-Mungukwa maneno na matendo,wakipuuza utukufu wake miongoni mwao.