Wewe ulijisemea moyoni mwako:‘Nitapanda mpaka mbinguni;nitaweka kiti changu juu ya nyota za Mungu,nitaketi juu ya mlima wakutanapo miungu,huko mbali pande za kaskazini.