29. Ukoo wa Bani: Meshulamu, Maluki, Adaya, Yashubu, Sheali na Yeremothi.
30. Ukoo wa Pahath-moabu: Adna, Kelali, Benaya, Maaseya, Matania, Besaleli, Binui na Manase.
31. Ukoo wa Harimu: Eliezeri, Ishiya, Malkiya, Shemaya, Shimeoni,
32. Benyamini, Maluki na Shemaria.
33. Ukoo wa Hashumu: Matenai, Matata, Zabadi, Elifeleti, Yeremai, Manase na Shimei.
34. Ukoo wa Bani: Maadai, Amramu, Ueli,
35. Benaya, Bedeya, Keluhi,
36. Wania, Meremothi, Eliashibu,
37. Matania, Matenai na Yaasu.
38. Ukoo wa Binui: Shimei,
39. Shelemia, Nathani, Adaya,
40. Maknadebai, Shashai, Sharai,
41. Azareli, Shelemia, Shemaria,
42. Shalumu, Amaria na Yosefu.
43. Ukoo wa Nebo: Yeieli, Matithia, Zabadi, Zebina, Yadai, Yoeli na Benaya.
44. Wanaume hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni. Basi wakawaacha wanawake hao pamoja na watoto wao.